Loading...
Watu wanne wafariki Dunia na mmoja ajeruhiwa katika ajali ya barabarani Mkoa wa Lindi katika kijiji cha Likahakwa, kata ya Kitomanga.
Kati ya watu waliofariki watatu ni wanawake na mmoja ni muuguzi wa zahanati ya Mtumbukile.
Waliofariki walikuwa kwenye gari ndogo aina ya Haice inayofanya safari zake kutoka Kiranjeraneje wilaya ya Kilwa kwenda Lindi, Ambapo iligongana na Lori ya mizigo.
Na Sofia Paschal.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

WANNE WAFARIKI PAPO HAPO KATIKA AJALI MKOANI LINDI
Reviewed by By News Reporter
on
10/25/2018 05:47:00 PM
Rating:

Hakuna maoni: