Filamu ya kustajaabisha ya RAFIKI iliyotengenezwa na Wakenya haijafanikiwa kuchaguliwa kipengele cha Filamu Bora ya Lugha ya Kigeni katika tuzo za Oscar za nchini Marekani.
Filamu inayoelezea maisha ya mabinti wawili waliopendana na kushiriki mapenzi ya jinsia moja, kile kilichodaiwa ni kuhamasiha ushoga na Bodi ya Filamu ya nchini Kenya.
Habari za Rafiki kushindwa kupata nafasi ya kuchaguliwa katika kipengele cha tuzo hizo zilizua hisia za majonzi kwa mtayarishaji na waigizaji wa filamu hiyo, huku kwa upande wa Mkurugenzi wa Bodi ya Uanishaji wa Filamu, Dkt. Ezekiel Mutua alipendezwa na jambo hilo kwani ile dhana yake ya kuinusuru jamii ya Wakenya juu janga la ushoga imefanikiwa.
Ingawa Mtayarishaji wa filamu ya rafiki, Wanuri Kahiu wiki iliyopita

Loading...
aliwasilisha mashitaka yake Mahakama Kuu akidai haki juu ya filamu yake kuonyeshwa nchini kote lakini nguvu ya maadili ilimshinda matakwa yake, na hatimaye mashitaka yake yalifutiliwa mbali.
Kigezo kilichotolewa na Oscar ni kwamba ili filamu yako ikidhi vigezo vya kuchaguliwa katika vipengele vya tuzo zao. Basi inabidi filamu yako ionyeshwe nchini kwako kwa muda wa siku saba na iwe imepatiwa kibali cha serikali au mamlaka husika.
Majonzi yametenda kwa mtaarishaji wa filamu lakini Dkt. Mutua ambaye aliibuka na kutangaza kupitia mtandao wa facebook kwamba: "Sasa Rafiki imeshindwa kupata ushiriki tuzo za Oscar je? watu wataendelea kupatiwa tiketi za bure kutazama filamu?," alisema Mkurugenzi wa Bodi ya Filamu, ambaye upande wake anafurahia ushindi wake wa kuzuia filamu hiyo kuchezwa.
Na Haika Gabriel.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com au sms-whatsapp: +255765112259

FILAMU YA USHOGA YA WAKENYA YAPIGWA KIBUTI TUZO ZA OSCAR
Reviewed by By News Reporter
on
10/01/2018 12:18:00 PM
Rating:

Hakuna maoni: