Kampuni ya magari ya Noparide ya nchini Kenya iliyopo jijini Nairobi imeleta magari yanayotumia umeme kwa lengo la kuongeza kipato kwa madereva taxicab kwa kupunguza gharama za mafuta.
Juha Suojanen, Mkurugenzi Mkuu na mwanzilishi wa Ekorent, amesema madereva taxi wanapata kati ya asilimia 30 hadi 50 zaidi kwa Noparide.
Alisema kuwa watumiaji wa magari hayo ya umeme wanatunza kiasi cha Sh1.7 milioni pesa za Kenya kwa kipindi cha miezi 30 kwa kutoweka mafuta.
"Hili ni jambo kubwa kw

Loading...
Kenya na Finland. Natumaini kuona maendeleo makubwa katika mpango huu," alisema Balozi Ramases Malaty - Ubalozi wa Finland.
Martin Eshiwani kutoka Wizara ya Usafiri alisema Kenya imekuwa ikishughulika na maswala ya afya ya hewa ya anga kutokana na uchafuzi wa mazingira.
"Wakenya wanaamini kwamba magari ya umeme ni ghali sana, tunahitaji kuwaelimisha kuwa sivyo wafikiriavyo. Tunafurahia kama Wizara ya Usafiri ambayo imechukua hatua hii ya ujasiri," alisema Eshiwani wakati wa uzinduzi wa gari.
Kampuni hiyo imeweka vituo viwili vya kuchajisha ikiwa na lengo la kuleta magari mengi zaidi kufikia mwisho wa mwaka.
Na Hamisi Chambuso.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

KUFUATIA KUPANDA KWA BEI YA MAFUTA NA KUSHUKA KWA FAIDA YA TAXI, MATAJIRI WAINGIZA MAGARI YA UMEME
Reviewed by By News Reporter
on
10/25/2018 03:53:00 PM
Rating:

Hakuna maoni: