Loading...
Mshambuliaji huyo wenye miaka 35 kwa sasa anaichezea klabu ya Feyenoord ya Uholanzi alipoanzia kucheza soka la kulipwa akiwa na miaka 17.
Amewahi pia kucheza katika klabu za Arsenal, Manchester United na timu ya Taifa ya Uholanzi - Amefanikiwa kuifungia timu yake ya taifa jumla ya magoli 50 katika michezo 102 na alishinda kombe la FA akiwa Arsenal na kombe la Ligi akiwa Manchester United.
Van Persie amesema anatarajia kustaafu soka lake mwisho wa msimu huu, na amelenga kutoa uzoefu kwa wachezaji wengi kile kinachotazamiwa kama anamalengo wa kuwa kocha kwa baadae lakini bado haijajulikana rasmi.
Na Mussa Ibrahim.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

MCHEZAJI ROBIN VAN PERSIE ATANGAZA KUSTAAFU KUCHEZA SOKA
Reviewed by By News Reporter
on
10/25/2018 04:08:00 PM
Rating:

Hakuna maoni: