Loading...
Hapo jana mdogo wa Cardi B, Hennessey Carolina alifunguka na kudai kuwa rapa Nicki Minaj ametoa namba ya simu ya Cardi kwa mashabiki ili wamtukane na kumtumia vitisho vya mauaji.
Kwenye ukurasa wake wa Instagram Hennessey Carolina ndipo alipoandika shutma hizo kwenda kwa Nicki Minaj.
"She leaked my sister's number to her fan pages the same shit she did to Mariah Lynn. It's easy for y'all to ask me why I'm bothered, why I care so much. But not one of you is waking up to death threats everyday." aliandika Hennessey.
Hata hivyo Nicki Minaj ameoneka kutupilia mbali tuhuma hizo baada ya mashabiki kumtaka kujibu hilo.
Na Fatma Pembe.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

MDOGO WA RAPA CARD B 'HENNESSY' AMVAA NICKI MINAJ
Reviewed by By News Reporter
on
10/29/2018 03:49:00 PM
Rating:
Hakuna maoni: