Loading...
Rais George Manneh Weah Alhamisi alitangaza kuwa wote wanaofanya shahada ya juu wataingia katika vyuo vikuu nchini kote watasoma bure bila kulipia ada.
Akitangaza kupitia mtandao wake wa facebook alisema: "Leo, ninafurahi kutangaza kwamba Chuo Kikuu cha Liberia na vyuo vikuu vingine vya Umma nchini Liberia wanafunzi wote watasoma bila malipo," Weah aliandika kwenye Facebook bila kutoa maelezo zaidi.
Rais Weah ambaye alikuwa mchezaji mashuhuli hapo zamani aliyetwaa mataji kama mchezaji bora wa dunia akichezea katika klabu ya AC Millan ya Italia. Mpaka sasa ameonekana akileta mabadiliko makubwa katika nchi ya Liberia akiwa kama rais.
Na Paskali Joseph.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

RAIS WEAH AWASHUSHIA NEEMA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU LIBERIA
Reviewed by By News Reporter
on
10/26/2018 10:11:00 AM
Rating:
![RAIS WEAH AWASHUSHIA NEEMA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU LIBERIA](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj-S6cQl1T_Kslt4CoHjH80wXacKE8cmTOMSlerLq4YCsmhjEtFnpZXy9loWthSiQ9sbBY7Rj1sIoveo2hJe_1TWvqc9BQ1idYyUWgZJ6pE5CI1wAAsSntIRmMi5OcRR9nalhjDN7s62jU/s72-c/wanafunzi+wa+liberia+kusoma+chuo+ni+bure.jpg)
Hakuna maoni: