Loading...

UJUMBE WA HUZUNI ALIOTUMA GADDAFI KWA FAMILIA YAKE KABLA YA KUUAWA - 20/10/2011

Loading...
Walibya wakiwa katika wiki ya maombolezo ya shujaa wao Muammar Gaddaf, aliyefariki tarehe 20 Oktoba, 2011. Muammar alikuwa katika vita baridi mataifa zaidi ya 40, ambayo yalianzisha operesheni ya kumshambulia kama waasi huku wakigewa msaada na NATO.

Hapa tunakuletea meseji ya uchungu aliyowaachia watoto wake kabla ya kuuawa kwake na waasi hao;

"Mimi ni baba yako, Hana. Mimi ni baba yako Hana.

Mimi ni baba yako, Aisha. Mimi ni baba yako, Aisha.

Ninakuachia ushujaa na si aibu. Kifo ni bora kuliko aibu, moto ni bora kuliko aibu.

Usiku wa leo nitavamiwa ndani ya kuzingirwa katika mji wangu wa Sirte na mimi naweza kuuawa katika operesheni hii.

Basi usiwe na huzuni au kilio. Furahini, Ewe Hana, shangilia, Ewe Aisha, shangilia, Ewe Safia.

Nimeuawa katika vita ambapo mimi hukabili nchi 40 zisizofaa ... "

Na Hussein Majid.



Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
UJUMBE WA HUZUNI ALIOTUMA GADDAFI KWA FAMILIA YAKE KABLA YA KUUAWA - 20/10/2011 UJUMBE WA HUZUNI ALIOTUMA GADDAFI KWA FAMILIA YAKE KABLA YA KUUAWA - 20/10/2011 Reviewed by By News Reporter on 10/26/2018 09:23:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.