Utafiti wa kisayansi uliofanywa hivi majuzi ulibaini kuwa watu warefu wapo katika hatari zaidi ya kupata aina fulani za kansa.
Utafiti huo uliofanywa na watafiti wa Marekani na kuchapishwa katika jarida la Proceedings of Royal Society B ulionyesha kuwa watu warefu wapo katika hatari kwa sababu wana viini(cell) vingi mwilini ambavyo hulengwa na magonjwa hayo.
Watafiti hao walipata matokeo hayo baada ya kuchunguza watu kutoka bara la Amerika. Utafiti huo ulieleza kuwa hatari y

Loading...
kupata kansa iliongezeka kwa asilimia 10 kwa kila sentimita 10.
Kimo cha wastani huwa ni tofauti kutoka bara moja hadi bara lingine ambapo Marekani, wanaume ni sentimita 176 na wanawake ni sentimita 162.
Kulingana na utafiti huo, hakuna chochote kinachoweza kufanywa kupunguza hatari hiyo kwa watu warefu.
Lakini kulingana na utafiti huo, wanyama wakubwa kama Tembo, Faru, Nyati n.k, ambao wana viini vingi hawamo katika hatari kwa sababu wana njia tofauti za kujikinga dhidi ya ugonjwa huo.
Na Catherine Kisese.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

UTAFITI: WATU WAREFU WAPO KATIKA HATARI ZAIDI YA KUPATA KANSA
Reviewed by By News Reporter
on
10/26/2018 08:37:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: