Loading...

SAKATA LA VIDEO YA NGONO: WEMA AAPA KUACHA UPUUZI, UJINGA NA UTOTO

Mwanadada Wema Sepetu alipokuwa akiomba msamaha mbele ya waandishi wa habari nyumbani kwa mama yake jana. Alifunguka na kuonekana mwenye kujuta juu ya kile kilichotokea  hivi karibuni baada ya video yake ya ngono kuvuja na kusambaa akiwa faragha na mpenzi wake.

Wema anasema kuwa kwa sasa amefunga jadala la ujinga na upuuzi katika maisha yake na ataanza kujiweka kama mtu aliyekuwa na anaetambua majukumu yake katika jamii.
Loading...
">
"ninaomba radhi marafiki zangu,ndugu zangu na wale wote wanaonisapoti kwa ujumla.lakini zaidi namuomba msamaha mama yangu ambae amekuwa akiumia zaidi,hakuna marefu yasiyo na ncha, nimnefunga jalada la utoto , jalada la ujinga na jalada la upuuzi, naomba radhi kwa haya yaliyotokea"

Wema anasema kuwa takuwa akionekana mtu wa jabu sana kama hatoonekana kujali kwa sababu tangu siku ya tukio mpaka muda anongea hakuwa sawa kwa kila kitu.
Na Geofrey Okechi.



Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
SAKATA LA VIDEO YA NGONO: WEMA AAPA KUACHA UPUUZI, UJINGA NA UTOTO SAKATA LA VIDEO YA NGONO: WEMA AAPA KUACHA UPUUZI, UJINGA NA UTOTO Reviewed by By News Reporter on 10/26/2018 08:09:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.