Loading...
Maya ni wimbo uliombwa na msanii Barakah The Prince akimshirikisha msanii chipukizi anayekwenda kwa jina Genius. Barakah akiwa katika lebo yake mwenyewe ya BML ameendelea kutoa nyimbo kadha wa kadha na hata kufanya vizuri.
Chukua time yako kuicheza, kusikiliza na kuipakua kupitia mtandao wako wa kijanja wa >>http://dundiika.com/song/maya-feat-genius
AUDIO | Barakah The Prince Ft. Genius – Maya | Play/Download
Reviewed by By News Reporter
on
11/01/2018 11:36:00 PM
Rating:
Hakuna maoni: