Loading...

BURUNDI KUINGIA MITINI MKUTANO WA JUMUIA YA A.MASHARIKI

Serikali ya Burundi umesema haitashiriki kikao cha marais wa jumuiya ya Afrika mashariki, awamu ya 20 mjini Arusha Tanzania kwa msingi kwamba haijafanya matayarisho kuhudhuria kikao hicho.

Loading...
rdana, sans-serif;">Barua ya rais wa Burundi Pierre Nkurunziza, kwa mwenyekiti wa jumuiya ya Afrika mashariki Yoweri Museveni, inaomba mkutano uahirishwe kwa muda wa mwezi mmoja zaidi.

Lakini Museveni, kwa kumjibu Nkurunziza, amesisitiza kwamba mkutano huo lazima ufanyike ilivyopangwa, kwa sababu maandalizi yamekamilika.
Na Sham Mmary.



Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
BURUNDI KUINGIA MITINI MKUTANO WA JUMUIA YA A.MASHARIKI BURUNDI KUINGIA MITINI MKUTANO WA JUMUIA YA A.MASHARIKI Reviewed by By News Reporter on 11/28/2018 06:49:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.