Loading...
Wote tunajua jinsi maziwa yalivyo na virutubisho vingi. Ni chanzo kikubwa cha protini na madini ya chuma ambapo husaidia kuimarisha meno na mifupa kwenye miili yetu.
Ambacho pengine haikijui ni kwamba mbali na maziwa hutumika katika kutengeneza chai, kunywa kama kinywaji, au kuchanganya katika chakula, yanamatumizi mengi. Na matumizi haya hayahusiani na kuyatumia kama chakula.
Hebu angalia matumizi haya ya maziwa kwa matumizi ya nyumbani:
i/. Kung'arisha samani - Tengeneza kimiminika kwa kutumia mchanganyiko wa maziwa na limao na utumie kusafishia samani (Meza, vitu, kabati n.k) ili kuzipa mng'aro dhabiti. Dumbukiza kitambaa laini katika mchanganyiko na kisha usafishe samani kutumia kitambaa hicho.
ii/. Safishia vyombo vilivyoundwa kwa madini ya fedha (silver) - Kwa kipindi, vyombo vya madini ya fedha hupata kutu. Kusafisha, vizamishe kwenye maziwa mgando kwa muda wa dakika 30 kabla ya kuvisafisha kwa maji ya uvuvugu na sabani kidogo.
iii/. Kung'arishia viatu - Chukua kitambaa laini cha nguo dumbukiza katika maziwa na usafishie viatu vyako vya ngozi.
iv/. Tuliza maimivu kwa kung'atwa na wadudu - Mng'ato wa buibui unaweza kukera sana. Kutuliza maumivu, tengeneza mchanganyiko wa maziwa, chumvi na maji na uweke katika sehemu iliadhiriwa. Kwa muda, maumivu yatakwisha.
v/. Kuondoa madoa kwenye nguo - Ikiwa umechafua shati lako kwa wino kwa bahati mbaya, maziwa yatakusaidia. Loeka sehemu iliyochafuka kwenye maziwa kwa usiku mzima. Kisha isafishe kawaida kwa sabuni itakuwa imeondoa doa hilo, na kama doa ni sugu utaongeza siki katika maziwa kwa urahisi wa kusafisha.
vi/. Mazuri kwa Afya ya ngozi yako - Ijapokuwa si kawaida kuchanganya maziwa katika maji ya kuogea lakini ukichanganya kidogo na maziwa itasaidia katika kuimarisha ubora wa ngozi yako.
Na Neema Bushubo.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

FAIDA NYINGINE YA MAZIWA MBALI NA KUTUMIKA KAMA CHAKULA
Reviewed by By News Reporter
on
11/19/2018 03:27:00 PM
Rating:
Hakuna maoni: