Mke wa rais mstaafu wa Marekani, Michelle Obama ameandika rekodi mpya baada ya kuuza nakala nyingi kupitia kitabu chake cha 'Becoming' kilichohusu maisha yake.
Makumbusho ya uchapishaji ilitangaza taarifa hiyo kuwa kitabu cha Michelle kimeuza nakala zaidi ya milioni 1.4 za muundo wa karatasi na digitali nchini Marekani na Canada siku saba toka kizundiliwemnamo Novemba 13.

Loading...
e="font-family: Verdana, sans-serif;">Kulingana na makadirio ya mahitaji kutoka katika vituo/maduko yote, mchapishaji wa kitabu hicho ilimbidi achapishe nakala milioni 3. Na siku ya kwanza pekee kitabu hicho kiliuza nakala 725,000, na kufanya kuwa uzinduzi mkubwa wa mwaka.
Makumbusho imethibitisha kitabu cha 'Becoming' kinachoelezea maisha halisi jina lake limeshika nafasi ya kwanza katika uchapishaji kwa nchi kama Uingereza, Ujerumani, Ufaransa, Uholanzi, Uhispania, Denmark na Finland. Ujerumani, na jumla ya nakala 200,000 zimeuza, na kusababisha uchapishaji wa pili wa nakala 100,000.
Na Mollel Donald.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

KITABU CHA MICHELLE OBAMA CHA ANDIKA HISTORIA KWA MAUZO MAKUBWA DUNIA
Reviewed by By News Reporter
on
11/27/2018 08:29:00 AM
Rating:

Hakuna maoni: