Picha ya aliyekuwa mwana soka maarufu wa England, David Beckham akiwa na binti yake pekee wa wakike Harper Seven Beckham (7) wakipigana mabusu ya mdomoni imezua utata katika mitandao ya kijamii huku wengine wakisema sio maadili.
Mwanasoka huyo aliyestaafu kwa sasa, mwenye watoto watatu wakiume na mtoto
Mwanasoka huyo aliyestaafu kwa sasa, mwenye watoto watatu wakiume na mtoto
Loading...
moja wakike aliyewazaa na mkewe Victoria Beckham, alirusha picha hiyo inasadikika ni ya utata na kuandika: "Chrismasi inakuja twende tukaendeshe viatu vya matairi".
Makundi ya watu, watumiaji wa mitandao walitoa maoni juu ya picha hiyo na kumwambia Beckham, sio sawa kumbusu mtoto wake wakike mdomoni.
Je wewe una maoni gani kwa hilo?
Na Richard Owino.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

PICHA YA BECKHAM NA BINTI YAKE YAZUA UTATA MITANDAONI
Reviewed by By News Reporter
on
11/27/2018 07:56:00 AM
Rating:

Hakuna maoni: