Loading...

KUTANA NA MAPACHA WA KIKE WANAOTEMBEA NA MWANAUME MMOJA

Mapacha wa kike (33), kutoka Perth, Australia wana historia ndefu kwenye operesheni za urembo (plastic surgery), ikiwa ni pamoja na kujaza lipsi, kuongeza matiti, kung'arisha ngozi, kuongeza urefu wa nywele.

Kulingana na mtandao wa Mail Online, mapacha hao wawili kwa majina Anna na Lucy DeCinque, ambapo wote kwa pamoja wametumia zaidi ya Sh. milioni 650 katika upasuaji ili waonekane wanafana zaidi na warembo kuzidi kawaida kwa sasa wanafanyiwa operesheni nyingine za kuwarudisha kama w
Loading...
livyozaliwa.

Kulingana na mapacha hao, ambao wanatoka kimapenzi na mwanaume mmoja wamedai wameendelea kupata matusi na kashfa juu ya mionekano yao ya sasa, hivyo hawayafurahii maisha yao kwa sasa.

Mapacha hao waliweka wazi kuwa huwa wanashiriki kila kitu kwa pamoja na ndio maana waliamua kutembea na mwanaume mmoja na wapo naye kwa miaka nane hadi sasa na wanatarajia kuwa na watoto naye mpenzi wao anayeitwa Ben Byrne.
Na Navoiwa Gabriel.



Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
KUTANA NA MAPACHA WA KIKE WANAOTEMBEA NA MWANAUME MMOJA KUTANA NA MAPACHA WA KIKE WANAOTEMBEA NA MWANAUME MMOJA Reviewed by By News Reporter on 11/27/2018 08:59:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Inaendeshwa na Blogger.