Loading...

MBOWE AZIDIWA ASAFIRISHWA NJE KWA MATIBABU

Loading...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeelezwa kuwa mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ameshindwa kufika mahakamani kwa kuwa amesafirishwa kwenda nje ya nchi kwa ajili ya matibabu.

Akiieleza mahakama mdhamini wa mbowe amedaiwa kuwa ameelezwa na mke wa Mbowe kuwa anasumbuliwa na tatizo la moyo na shinikizo la damu.

Kufuatia maelezo hayo wakili wa serikali ameiomba mahakama kutoa amri ya kumkamata mbowe ili ajieleze kwa nini dhamana aliyopewa na mahakama kwanini isifutwe kwa kushindwa kufika mahakamani.

Na Yohana Frank.



Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
MBOWE AZIDIWA ASAFIRISHWA NJE KWA MATIBABU MBOWE AZIDIWA ASAFIRISHWA NJE KWA MATIBABU Reviewed by By News Reporter on 11/02/2018 07:18:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.