Loading...
Kiongozi na pasta wa Kanisa la Manmin la Korea Kusini ahukumiwa na kutupwa jela kwa miaka 15 baada ya kuwabaka waumini na wafuasi wake wa kike - huku baadhi yao waliamini kuwa yeye ni 'Mungu'.
Mchungaji Lee Jaerock alianzisha Kanisa la Manmin Central huko Guro, Seoul, Korea ya Kusini, akiwa na wafuasi 12 pekee mwaka 1982. Lilikuwa na kufikisha wafuasi 130,000, ambao wengi wao walimheshimu mchungaji na kumwona kama Mungu. "Hata kusababisha wafuasi wake wasipinge walipofanyiwa unyanyasaji wa kijinsia," jaji Chung Moon-sung aliiambia Mahakama ya Kati ya Wilaya ya Seoul.
Lakini waumini watatu kati ya waathirika wote walijitokeza katika umma mapema mwaka huu na kuweka wazi walivyofanyiwa unyanyasaji huo, na ndipo wengine kujitokeza na kusema hata mimi nilifanyiwa hivyo. Waumini hao waliomwanika walieleza jinsi alivyowaitwa nyumbani kwake na kuwabaka.
Na Haika Gabriel.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

MCHUNGAJI MAARUFU KOREA ATUPWA JELA MIAKA 15 KWA UBAKAJI
Reviewed by By News Reporter
on
11/23/2018 05:46:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: