Loading...
Umoja wa mataifa umeonya juu ya moshi wa sumu kutoka viwandani na kutapakaa hewani unaongezeka kupita wakati wowote ule mwengine.
Ikiwa moshi wa sumu unaotoka viwandani na hasa ule wa Carbon Dioxide hautapunguzwa haraka, itakuwa shida sana baadae kukabiliana na balaa linalosababishwa na hali hiyo amesema hayo katibu mkuu wa shirika la kimataifa la utabiri wa hali ya hewa Petteri Taalas mjini Geneva.
Kwa mujibu wa shirika hilo la Umoja wa mataifa , gesi za sumu ndio sababu kubwa ya mabadiliko ya tabianchi, kupanda kina cha maji ya bahari pamoja na kuzidi majanga yaliyokithiri yanayosababishwa na hali ya hewa.
Na Neema Joshua.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

MOSHI WA SUMU KUONGEZEKA HEWANI - UMOJA WA MATAIFA YAONYA
Reviewed by By News Reporter
on
11/23/2018 05:11:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: