Loading...
Kampuni ya Airbus inakamilisha ujenzi wa ndege maalumu wanayotarajia kuiuza Tanzania, ambapo itapewa jina la Dodoma itakayokuwa na kauli mbili ya 'Hapa Kazi Tu'.
Ndege hii urefu wake ni mita 38.7, na kwa jumla inaweza kuketi abiria 141.
Urefu wake kutoka chini kwenda juu ni mita 11.5, na upana wa mabawa yake ni mita 35.1.
Airbus 220-300 inaweza kusafiri umbali wa 5,920km safari moja, na inaweza kupaa ikiwa na uzani wa tani 67.6, na kutua ikiwa na uzani wa tani 58.7.
A220-300 ndiyo ndege kubwa miongoni mwa ndege za familia ya A220 na iliundwa kulenga soko la safai za ndege zinazowabeba abiria kati ya 130-160.
Ni ndege ambayo imeundwa kupunguza gharama ya matumizi yake ya mafuta kwa kila safari na pia kuwa yenye uwezo wa juu.
Injini zake zimepunguza matumizi ya mafuta kwa kila abiria kwa asilimia 20 ukilinganisha na ndege za awali za aina yake.
Ndege za A220 zimejengwa kwa vipande vinavyoweza kutengenezwa kwa haraka kiwandani iwapo vitahitajika wakati wa ukarabati.
Injini zake pia huwa za familia moja. Marubani waliozoea ndege aina ya A220-300 na A220-100 hawahitaji mafunzo zaidi kuweza kuziendesha.
Na John Masango.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

SIFA ZA AIRBUS A220 - 300, NDEGE MPYA ITAKAYONUNULIWA NA TANZANIA
Reviewed by By News Reporter
on
11/24/2018 06:27:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: