Loading...
Baba wa msanii Diamond Platnumz, mzee Abdul Juma Isack amejitokeza hadharani na kuomba msaada kutoka kwa mwanae kwa kuwa hawezi kutembea vizuri.
Akiwa katika mahojiano na wanahabari Ijumaa Disemba 14, Juma alifichua kwamba tatizo kwenye goti lake lilianza miaka kadhaa iliyopita na limekuwa likimsumbua sana na kumfanya ashindwe kutembea.
Akiwa mwenye majozi mengi, Juma alielezea jinsi alivyotelekezwa na mwanawe ambaye ni tajiri kupindukia.
"Afya yangu imezorota sana, kwa sasa goti langu linauma sana na siwezi kutembea kwa mwendo mrefu, kama mnavyoona ninaumia sana na siwezi nyanyuka kwenye kitanda changu," Juma alisema huku machozi yakimdondoka.
Juma ,52 , anamtaka mwanae kumsaidia angalau apate bima ya afya ili aweze kupata matibabu.

Na Timoth Hamisi.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
BABA YAKE DIAMOND AWEZI KUTEMBEA, AOMBA MSAADA
Reviewed by By News Reporter
on
12/16/2018 11:25:00 AM
Rating:
Reviewed by By News Reporter
on
12/16/2018 11:25:00 AM
Rating:

Hakuna maoni: