Loading...
Zikiwa zimebaki siku chache kabla ya kufanyinyika uchaguzi mkuu nchini Jamhuri ya Kidmokrasia ya Kongo , Moto uliotokea katika bwalo moja la tume ya uchaguzi ya nchi hiyo (CENI) umeteketeza mashine za kupigia kura za kielektroniki elfu 7.
Waziri wa mambo ya ndani wa JK Kongo Henri Lova Sakanyi, amesema katika moto uliotokea mjini Kinshasa pamoja na mashine hizo za kupigia kura za kielekroniki moto huo pia uliteketeza vibanda vya kupigia na baadhi ya magari.
Dalili zinaonyesha moto huo uliwashwa na wahuni waliokuwa na lengo la kvuruga uchaguzi, Sakanyi alisema uchaguzi huo utaendelea kama ulivyopangwa. Uchunguzi kuhusiana na tukio hilo umeanza.
Na Richard Omondi.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

KUELEKEA UCHAGUZI DRC: WAHUNI WACHOMA MOTO MASHINE ZA KURA
Reviewed by By News Reporter
on
12/16/2018 09:55:00 AM
Rating:
Reviewed by By News Reporter
on
12/16/2018 09:55:00 AM
Rating:

Hakuna maoni: