Loading...
Tafrani nyingine kubwa imeletwa na fisi wengi waliovamia leo asubuhi katika kijiji cha Itololo Machinjioni wilayani Kondoa.
Kwa mujibu wa wakazi wa eneo hilo, fisi kadhaa walivamia eneo hilo la machinjioni majira ya asubuhi ambapo vurugu zilipamba moto huku fisi hao kuzagaa na watu watatu walijeruhiwa.
Wanakijiji walifanikiwa kumuua fisi mmoja baada ya kuwashambulia wakazi hao wa kijiji hicho.
Ikumbukwe huko nyuma tukio kama hilo lilitokea mwaka 1998 na mwaka 2005 na mara ya mwisho mwezi Novemba 15, 2018 ambapo wahanga kadhaa wamefariki kwa majeraha kwa nyakati tofauti.
Na Paskali Joseph.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

FISI WARUDI KIVINGINE WANG'ATA WATU WATATU ITOLOLO
Reviewed by By News Reporter
on
12/27/2018 10:57:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: