Loading...
Badagry ni mji mdogo uliopo pwani ya Nigeria, Karibu na jiji la Lagos. Zamani enzi za utawala wa kikoloni ulikuwa maarufu kama kituo cha kusafirishia watumwa kwenda katika sehemu tofauti tofauti za Asia na Marekani.
Katika kituo hicho, wamiliki na wafanya biashara wakubwa walikuwa Wareno na Wabrazili na zaidi ya wafungwa 5000 waliuzwa kati ya mwaka 1700 mpaka 1900.
Watumwa waliyoonekana wana nidhamu na watiifu walipendwa na wafanyabiashara hao na hata wengine kuishi nao pamoja.
Katika picha tunaona watumwa na wafanyabiashara hao wakipiga picha ya pamoja wakati wa kisherehekea sikukuu ya Krismasi ya mwaka 1923.
Na Emmanuel Frank.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

WATUMWA WAKISHEREHEKEA SIKUKUU YA KRISMASI MWAKA 1923
Reviewed by By News Reporter
on
12/27/2018 01:18:00 PM
Rating:
Reviewed by By News Reporter
on
12/27/2018 01:18:00 PM
Rating:

Hakuna maoni: