Loading...

TRUMP AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA IRAQ, WASHEHEREKEA KRISMASI

Loading...
Donald Trump, rais wa Marekani afanya ziara ya kushtukiza nchini Iraq na kusherekea sikukuu ya  krismasi na wanajeshi wa Marekani waliopo nchini humo. Rais Trump katika ziara yake hiyo ameshirikiana na mkewe Ivanka Trump.

Taarifa  iliotolewa na Ikulu ya White House imesema kuwa rais Trump na mkewe wamesherekea sikukuu ya krismasi nchini Iraq wakishirikiana na wanajeshi wa Marekani waliopo nchini humo.

Kwa upande wake  msemaji wa ikulu  Sarah Sanders katika  kurasa zake katika mitandao ya kijamii ametoa ujumbe ambao umefahamisha kuwa rais Trump yupo nchini Iraq kusherekea sikukuu ya krismasi pamoja na wanajeshi wa Marekani.

Ikumbukwe  kuwa Marekani ilivamia Iraq mwaka 2003 ikidai kuzuaia uongozi uliokuwepo kumliki bomu la nyuklia na maangamizi ya halaiki.
Na Richard Owino.



Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
TRUMP AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA IRAQ, WASHEHEREKEA KRISMASI TRUMP AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA IRAQ, WASHEHEREKEA KRISMASI Reviewed by By News Reporter on 12/27/2018 10:32:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.