Loading...
Jengo moja la makao makuu ya mtandao wa Facebook California nchini Marekani,limetahadharishwa na uwezekano wa kuwepo kwa bomu ndani yake
Kituo cha polisi cha Menlo Park ilitangaza uwezekano wa kuwepo kwa bomu katika moja ya amjengo hayo majira ya saa 16.30 saa za Marekani.
Wafanyakazi walilazimika kuhamishwa kwa ajili ya uchunguzi kufanyika.
Hata hivyo hakuna dalili yoyote ya bomu iliyoonekana baada ya jengo hilo kufanyiwa uchunguzi.
Na Yohana Ally.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

JENGO LA MAKAO MAKUU YA FACEBOOK LATISHIWA KULIPULIWA
Reviewed by By News Reporter
on
12/12/2018 04:07:00 PM
Rating:
Reviewed by By News Reporter
on
12/12/2018 04:07:00 PM
Rating:

Hakuna maoni: