Loading...
Miss Tanzania mwaka 2018/2019 Queen Elizabeth Makune amefunguka kwa Mara ya kwanza tangu arudi nchini kutokea nchini China kwenye mashindano ya Miss World.
Mashindano ya Miss World yalifanyika mwishoni mwa wiki iliyopita huko Sanya nchini China ambapo mrembo kutoka Mexico Vanessa Ponce de Leon ndiye aliyetawazwa kuwa Miss World.
Ingawa Miss Tanzania hakufanya vizuri sana na kutoka katika hatua za mwanzoni za mashindano lakini watu wengi walionekana juhudi zake katika kutaka kushinda.
Siku ya Jumatatu Miss Tanzania alirudi nchini na kufanya mahojiano na moja ya mitandao ya habari hapa nchini, ambapo amesema anawashukuru Watanzania kwa mchango wao, pia amejifunza mengi nchini China na anashukuru kwa matokeo aliyoyapata.
"Nimejifunza vitu vingi sana ikiwemo tamaduni, vimenijenga mimi kama mrembo na safari yangu haijaishia hapo huu ni mwanzo tu".
Na Catherine Kisese.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

MISS TANZANIA 2018 AFUNGUKA HAYA BAADA YA KUWASILI TANZANIA
Reviewed by By News Reporter
on
12/12/2018 03:39:00 PM
Rating:
Reviewed by By News Reporter
on
12/12/2018 03:39:00 PM
Rating:

Hakuna maoni: