Loading...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli pamoja na Wasaidizi wake leo tarehe Disemba 30, 2018, wamemuombea Mama yake Mzazi Bibi. Suzana Magufuli anayepatiwa Matibabu Jijini Dar es Salaam.
Bibi Suzana Magufuli anasumbuliwa na ugonjwa wa Kiharusi ambapo amekuwa akipatiwa matibabu kwa takribani miezi mitatu sasa.
Na Paskali Joseph.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

JPM AMTEMBELEA NA KUMUOMBEA DUA MAMA YAKE MGONJWA (PICHA)
Reviewed by By News Reporter
on
12/30/2018 04:38:00 PM
Rating:
Reviewed by By News Reporter
on
12/30/2018 04:38:00 PM
Rating:

Hakuna maoni: