Loading...
Aliyekuwa rais wa Marekani Barack Obama ameweka bayana miziki, filamu na vitambu anavyopenda na kitabu cha 'Becoming' alichoandika mke wake kipenzi kimeshika namba moja katika orodha ya vitabu alivyovitaja.
Baadhi ya wasanii aliyoorodhesha nyimbo zao kama nyimbo zake bora kwa mwaka 2018 ni H.E.R., Cardi B, The Carters, Jay Rock, J. Cole, Janelle Monae, Normani na Khalid.
Katika orodha ya filamu aliorodhesha filamu kama, Black Panther, Annihilation, Burning, Eight Grade na Leave No Trace na nyingine nyingi.
Vitabu vingine ni kama An American Marriage, The Broken Ladder, Educated, Factfulness, Futureface, A grain of wheat n.k
Aliporusha hiyo orodha yake, Obama alituma ujumbe unaosema: 'Mwaka 2018 ukikaribia kumalizika, Naendeleza tamaduni yangu ya kuweka wazi orodha nizipendazo. Inanipa wakati wa kusimama na kufanya mapitia katika kipindi cha mwaka mzima kwenye vitabu, filamu na nyimbo ambazo niliziona zimenivutia zaidi, zinahamasa zaidi na kuzipenda tu. Pia unipa nafasi ya kutambua watunzi mahiri, wasanii wajuzi na wasimulizi wazuri - wengine wenye majina ya kawaida na wengine maarufu.'
Na Hamisi Ramadhani.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

OBAMA ATOA ORODHA YAKE YA FILAMU, NYIMBO NA VITABU BORA 2018
Reviewed by By News Reporter
on
12/30/2018 05:31:00 PM
Rating:
Reviewed by By News Reporter
on
12/30/2018 05:31:00 PM
Rating:

Hakuna maoni: