Loading...
Forbes yatoa orodha ya wanamuziki mwenye kipato kikubwa kushinda wengine kwa mwaka 2018 ulimwenguni.
Forbes imetoa orodha ya wanamuziki wenye kipato kikubwa kwa mwaka 2018 ulimwenguni huku katika nafasi ya kwanza ikiwa imeshikiliwa na undi wa U2 kutoka Irelan ambalo limeundwa kwa 1976. Kundi hilo limeweza kujikusanyia kiwango cha dola milioin 118.
Kundi la Coldplay nafasi ya pili na kipato cha dola milioni 115 lifuatiwa nafasi ya 3 na Ed Sheeran akiwa na kipato cha dola milioin 110.
Forbes imetoa orodha hiyo ya mwaka ambayo takwimu zake zimekusanywa kuanzia Juni mosi mwaka 2017 hadi Juni mwaka 2018.
Orodha ya Wanamuziki kulingana na kipato :
1. U2 (dola Milioni 118)
2. Coldplay (dola Milioni 115.5 )
3. Ed Sheeran (dola Milioni 110 )
4. Bruno Mars (dola Milioni 100 )
5. Katy Perry (dola Milioni 83 )
6. Taylor Swift (dola Milioni 80 )
7. Jay-Z (dola Milioni 76.5 )
8. Guns N' Roses (dola Milioni 71 )
9. Roger Waters (dola Milioni 68 )
10. Diddy (dola Milioni 64 )
Na Neema Joshua.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
KUMI BORA YA WANAMUZIKI WENYE MKWANJA MREFU KWA MWAKA 2018
Reviewed by By News Reporter
on
12/12/2018 04:35:00 PM
Rating:
Reviewed by By News Reporter
on
12/12/2018 04:35:00 PM
Rating:

Hakuna maoni: