Loading...
Watu wengi tunayo nia ya kubadili aina ya maisha tunayoishi lakini kwa bahati mbaya wengi wetu tunajikuta tukishindwa kufanya hivyo tukisubiri kuchukua jukumu hilo hapo baadaye.
Itambulike kwamba kila siku ambayo Mwenyezi Mungu amekubariki kuwa hai na kuishi ni nafasi ya pekee na fursa ya wewe kubadili maisha yako. Hakuna sababu ya kusubiri hapo baadaye fursa ya kufanya hivyo ni leo.
Kama unatamani kubadili aina ya maisha unayoishi umepewa siku ya leo kama fursa muhimu kwako. Kuna wengine wanaitamani siku ya leo lakini kwa sababu mbalimbali hawawezi kuitumia. Usiache fursa hii ikapita.
Na Suzan Malik.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

'LEO NI SIKU MUHIMU KUBADILI MAISHA YAKO'
Reviewed by By News Reporter
on
12/21/2018 12:07:00 PM
Rating:
Hakuna maoni: