Loading...
Mwanaume mmoja wa makamo aliyejulikana kwa jina la Davy, amefariki katika hoteli maarufu huko Lagos, Nigeria katika mashindano ya kingono na msichana aliyefahamika kwa jina la Loveth.
Gazeti la Guardian la nchini humo liliripoti kwamba Davy na Loveth walibishana kuwa nani ambaye atachoka mapema baada ya kufanya tendo la ndoa na hata wakawekeana dau la pesa taslimu Sh. 300,000 kama zawadi atakayeibuka mshindi.
Ilitaarifiwa kuwa hadi mkupuo wa sita, Davy aliendelea kumng'ang'ania Loveth ambaye alikuwa anaonekana bado imara mpaka alipogundua amefariki katika mkupuo wa saba. Ndipo alipopiga kengele kwa uongozi wa hoteli ili apewe msaada.
Baadae msichana huyo alifikishwa polisi kwa ajili ya mahojiano na uchunguzi zaidi na mwili ulifikishwa hospitali ambayo jina lake halikuwekwa wazi.
Na Lucas Gregory.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

VITUKO VYA MWISHO WA MWAKA, JAMAA AFARIKI KIFUANI MWA MWANAMKE
Reviewed by By News Reporter
on
12/21/2018 11:42:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: