Loading...
Ili muweze kukaa kwa kipindi kirefu katika mahusiano yoyote ya kimapenzi yawe ya ndoa au kabla ya ndoa (uchumba) kuna mambo matatu muhimu yatupasa kuyazingatia, mambo yenyewe ni pamoja na:-
KUJIJENGEA URAFIKI BAINA YENU
Ili mapenzi yenu yadumu ni lazima muwe na ukaribu na urafiki. Ili mpenzi wako aweze kukwambia kitu chochote ni lazima mjenge ukaribu ilI muambiane kila kitu. Mkiweka mahusiano yenu katika mazingira haya kutawafanya muwe wawazi katika kushaurina mambo ya maana pia.
KUKUBALI MAKOSA NA KUOMBA MSAMAHA (KUONDOKA NA UKIBURI)
Ili mapenzi yenu yadumu lazima mjue kuna kukosea na ni muhimu pale unapokosea umuombe mpenzi wako msamaha hii itawasidia kiheshimiana zaidi. Wote tunakosea hakuna binadamu mkamilifu hivo ni muhimu kujifunza kutoka kwenye makosa yetu.
KUHESHIMIANA
Hakuna kitu muhimu kwenye mapenzi kama heshima ni muhimu kila mmoja amheshimu mwenzie hii itasaidia kuweka mipaka fulani katika mahusiano na hii itoke pande zote mbili mwanamke amheshimu mwanamke na mwanaume hivyo hivyo.
Na Richard Owino.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

MAMBO MUHIMU KWA USTAWI BORA WA MAHUSIANO YA KIMAPENZI
Reviewed by By News Reporter
on
12/21/2018 10:37:00 AM
Rating:
Reviewed by By News Reporter
on
12/21/2018 10:37:00 AM
Rating:

Hakuna maoni: