Loading...
Rapa, Nicki Minaj, 36, kupitia akaunti yake ya Instagram aliwaonyesha mashabiki na wafausi wake mpenzi wake mpya kwa kuweka picha za kimahaba wakiwa pamoja na mpenzi wake mpya Kenneth Petty, 40, na aliweka wazi kuwa anataka nyota huyo awe mkewe.
Hii inafuatia baada ya chanzo karibu na rapa 'Malkia' alipoiambia TMZ kwamba Nicki na Kenneth Petty tayari wanamipango ya ndoa na kupata watoto baada ya kuwa wapenzi kwa miezi kadhaa sasa.
Akitupia picha za yeye na mpenziwe, Malkia wa rap aliandika: 'Anataka mimi niwe Mkewe - MISSIS yake ni kama SIPPI sasa.'
Na Catherine Kisese.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

MPENZI MPYA WA RAPA NICKI MINAJ, KUTANGAZA NDOA
Reviewed by By News Reporter
on
12/15/2018 11:44:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: