Loading...
Klabu ya Manchester United hatimaye imemtimua meneja wake Jose Mourinho.
Uongozi wa klabu hiyo uliandika ujumbe mtandaoni ukibaini kuwa meneja huyo aliondoka na hata kumshukuru kwa kazi aliyoifanyia klabu hiyo na kumtakia safari njema.
Kabla ya kufukuzwa kazi, mashabiki wa soka walianza kueneza uvumu kuhusu kiongozi ambaye ataweza kuchukua nafasi ya Mourinho katika klabu ya Man United.
Hapa tumekuandalia orodha ya majina ya makocha ambao wanatarajiwa kumrithi kiongozi huyo:-
1. Zinedine Zidane
Nguli huyu wa kandanda raia wa Ufaransa ndiye anayeongoza orodha ya mameneja watakaomridhi Mourinho.
2. Mauricio Pochettino
Meneja huyu wa Tottenham Hotspurs alisaini kandarasi mpya kuongeza muda wake katika klabu hiyo. Wengi wanadai kuwa huenda atakuwa kiongozi wa Man United.
3. Diego Simeone
Mbinu yake na umahiri katika kandanda inaifaa klabu ya Man United.
4. Ryan Giggs
Giggs amepanda kazi upesi na kuwa kocha wa kitaifa. Yeye pekee ndiye aliyeweza kufanya kazi katika uongozi wa klabu ya Man United katika orodha hii.
5. Antonio Conte
Antonio alitwaa uongozi wa ligi ya mabingwa akiiongoza klabu ya Chelsea msimu wa kwanza kabla kuiangusha klabu hiyo msimu wa pili.
Na Timoth Zakayo.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

ORODHA YA MAKOCHA WANAOTARAJIA KUMRITHI MOURINHO MAN UTD, ZIDANE AONGOZA
Reviewed by GEOFREY MASHEL
on
12/19/2018 06:46:00 AM
Rating:
Reviewed by GEOFREY MASHEL
on
12/19/2018 06:46:00 AM
Rating:

Hakuna maoni: