Loading...

UTAOGOPA HADI LINI, ANZA HIVYO HIVYO KUNA MWANGA MBELE YA SAFARI

Loading...
Kuna watu toka mwaka uanze na sasa unakaribia kuisha kuna mambo wamekuwa kila siku wakiogopa kuyafanya kwa hofu ya kushindwa pamoja na kwamba ndani ya mioyo yao wanatamani kuyafanya.

Tutaogopa hadi lini? Kama ndani yako unasikia msukumo wa kufanya jambo fulani na unatamani kufanya jambo hilo ni vyema ukatambua hili, suala la kufanikisha au kutofanikisha jambo sio swali la msingi na wala sio kipimo sahihi cha kukupa ruksa ya kuchukua hatua ya kufanya jambo hilo.

Jiulize utaogopa hadi lini? Ifike hatua tuachane na hofu inayotuzuia na kutukwamisha na tuamue kuchukua hatua za kuanza hivyo hivyo bila kujali kama tutafanikisha au la. Mara nyingi wanaothubutu kuanza hufanikisha.

Keep Moving !!
Vicent Stephen


Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
UTAOGOPA HADI LINI, ANZA HIVYO HIVYO KUNA MWANGA MBELE YA SAFARI UTAOGOPA HADI LINI, ANZA HIVYO HIVYO KUNA MWANGA MBELE YA SAFARI Reviewed by GEOFREY MASHEL on 12/17/2018 08:17:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.