Loading...
Tunapohitimisha mwaka na kujiandaa kuingia mwaka mpya weka mkazo katika maono yako kwa maana ya wapi unataka kwenda, kuwa ama kufika baada ya muda fulani hususani kwa huu mwaka mpya unaoanza.
Usitumie muda mwingi kuumia na kujutia matatizo na changamoto za kipindi kinachopita bali chukua kile ulichojifunza kutoka katika changamoto hizo ili kiwe msaada katika kufanikisha maono yako katika mwaka mpya unaoanza.

Na William Juvenille.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
'WEKA MKAZO KATIKA KILE UNACHOTAMANI KUFANIKISHA BADALA YA MAMBO YALIYOPITA'
Reviewed by By News Reporter
on
12/19/2018 01:41:00 PM
Rating:
Hakuna maoni: