Loading...
Kenya. Jamaa mmoja mwenye umri wa makamo amekimbizwa hospitalini kaunti ya Kirinyaga baada ya mkewe kumchoma kwa maji moto kwenye sehemu nyeti.
Jarida la TUKO la nchini humo liling'amua kuwa jamaa huyo alipigiwa simu na mmoja wa wateja wake wa kike akimjuza kuhusu nafasi ya kazi ila mkewe alidhani kuwa anazungumza na mchepuko wake.
"Nilipigiwa simu na mmoja wa wateja wangu wa kike akinieleza kuhusu nafasi ya kazi lakini mke wangu alijawa na ghadhabu na kuanza kunikashifu kwa kutokuwa mwaminifu katika ndoa," Mwathiriwa alisema.
Aidha, jamaa huyo ambaye anapatiwa matibabu katika hospitali ya Kimbimbi alisema mkewa wa miaka 12 katika ndoa amekuwa akimtishia mara kadhaa kumchoma.
Na Timoth Mbaga.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

JAMAA AUNGUZWA SEHEMU ZA SIRI NA MKEWE KISA SIMU YA MTEJA
Reviewed by By News Reporter
on
1/31/2019 10:17:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: