Loading...
Baraza la Mitihani Tanzania leo January 24 2019 limetangaza matokeo ya Mtihani wa mwisho wa kidato cha Nne kwa mwaka 2018 Tanzania ambapo Shule 10 bora zilizofanya vizuri zimetajwa na hata shule 10 za mwisho zimetajwa, Je wanafunzi walioongoza kitaifa? endele kufuatilia blogu yako pendwa kupata taarifa zote.
SHULE 10 BORA KITAIFA:
1. St. Francis Girls - Mbeya
2. Kemebos - Kagera
3. Marian Boys - Pwani
4. Ahmes - Pwani
5. Canossa - Dar Es Salaam
6. Maua Seminary - Kilimanjaro
7. Precious Blood - Arusha
8. Marian Girls - Pwani
9. Bright Future Girls - Dar Es Salaam
10. Bethel Sabs Girls - Iringa
SHULE 10 ZA MWISHO KITAIFA:
1. Pwani Mchangani - Kaskazini Unguja
2. Ukutini - Kusini Pemba
3. Kwediboma - Tanga
4. Rwemondo - Kagera
5. Namatula - Lindi
6. Kijini - Kaskazini Unguja
7. Komkalakala - Tanga
8. Kwizu - Kilimanjaro
9. Seuta - Tanga
10. Masjid Qubah Muslim - Dar Es Salaam
Na Catherine Kisese.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
SHULE 10 BORA KITAIFA:
1. St. Francis Girls - Mbeya
2. Kemebos - Kagera
3. Marian Boys - Pwani
4. Ahmes - Pwani
5. Canossa - Dar Es Salaam
6. Maua Seminary - Kilimanjaro
7. Precious Blood - Arusha
8. Marian Girls - Pwani
9. Bright Future Girls - Dar Es Salaam
10. Bethel Sabs Girls - Iringa
SHULE 10 ZA MWISHO KITAIFA:
1. Pwani Mchangani - Kaskazini Unguja
2. Ukutini - Kusini Pemba
3. Kwediboma - Tanga
4. Rwemondo - Kagera
5. Namatula - Lindi
6. Kijini - Kaskazini Unguja
7. Komkalakala - Tanga
8. Kwizu - Kilimanjaro
9. Seuta - Tanga
10. Masjid Qubah Muslim - Dar Es Salaam
Na Catherine Kisese.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
KUMI (10) BORA MATOKEO FORM IV 2018
Reviewed by By News Reporter
on
1/24/2019 05:26:00 PM
Rating:
Hakuna maoni: