Loading...
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu leo akiwa Mkoani Shinyanga, Amefanya ziara ya kukagua ujenzi wa Hospitali mpya ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga. Jengo la Wagonjwa wa nje (OPD) likiwa limekamilika, ndani ya wiki 2.
Wizara yake imehaidi kuwa italeta shilingi bilioni 2.5 kwa ajili ya ujenzi wa Jengo la Mama na Mtoto.
Pia wizara inataraji kuleta fedha nyingine kwa ajili ya Jengo la Huduma za Uchunguzi na Upasuaji katika wiki chache zijazo. Lengo ikiwa ni kukamilisha ujenzi wa majengo ya Awamu ya Kwanza ili kuanza kutoa huduma kwa Wananchi wa Mkoa wa Shinyanga kabla ya mwisho wa mwaka huu 2019.
Aidha, Mhe. Ummy alitembelea Kituo cha Afya Kambarage, kilichopo Manispaa ya Shinyanga. Ujenzi wa majengo muhimu kwa ajili ya huduma za uzazi wa dharura ikiwemo upasuaji wa kutoa mtoto tumboni (CEMONC) amekuta unaendelea vizuri. Mkurugenzi amemuahakikishia kazi itamalizika by 15 Feb. 2019.
Pia amekuta, hali ya utoaji huduma imehimarika, dawa muhimu zinapatikana kwa zaidi ya asilimia 90. Hata hivyo alishuhudia msongamano mkubwa wa wagonjwa. Na KUhaidi kumalimaliza tatizo hilo mara tu tamati ya ujenzi wa majengo mapya ya CEMONC ya Kituo hicho na pia tamata ya ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ambapo yanatarajiwa kukabidhiwa kwa Manispaa ya Shinyanga Majengo ya sasa ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ili kuanzisha Hospitali ya Manispaa.
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kwa umakini na weledi mkubwa inaendelea kutekeleza majukumu yake chini ya Mheshimiwa Ummy Mwalimu kwa kampeni yake ya #TUNABORESHAAFYA.
Na Paskali Joseph.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

SHINYANGA KUPATA HOSPITALI MPYA YA MKOA
Reviewed by By News Reporter
on
1/24/2019 06:05:00 PM
Rating:
Hakuna maoni: