Loading...
Siku kama ya leo 1990, Dikteta na Jenerali Manuel Antonio Noriega a.k.a pineapple face, alijisalimisha katika mikono ya jeshi la Wamarekani baada ya kujificha katika ubalozi wa Vitican uliopo katika jiji la Panama kwa siku 10, akikabiliwa na mashtaka ya kusafirisha madawa ya kulevya.
Noriega alisafirishwa mpaka Miami, US siku iliyofuata huku umati wa raia wakifuhia katika mitaa ya jiji la Panama. Jully 10, 1992, dikteta huyo alihukumiwa miaka 40 jela kwa kukutwa na hatia ya kusafisha madawa na kutakatisha pesa. Noriega alifariki mwezi Mei, 2017 baada ya kukaa jela kwa zaidi ya miaka 35.
Ikumbukwe Noriega alikuwa mshirika mkubwa wa Pablo Escober wa Colombia ambaye alikuwa gwiji la uuzaji wa madawa ya kulevya nchini Colombia na gaidi wa Narco wa muda wote ambapo mwaka 1993 alifariki baada ya kutafutwa kwa muda mrefu na kikosi maalumu cha maswala ya madawa cha Marekani DEA, wakishirikiana na Jeshi la Colombia.
Na Geofrey Okechi.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

LEO KATIKA HISTORIA, NORIEGA AJISALIMISHA KWA WAMAREKANI
Reviewed by GEOFREY MASHEL
on
1/03/2019 08:51:00 AM
Rating:

Hakuna maoni: