Loading...

LEO KATIKA HISTORIA: SATELAITE ILIGUNDULIWA, BOMU KUBWA LILITENGENEZWA, KOMPYUTA YA KIPEKEE ILIUNDWA

Loading...
- Januari 7 mwaka 1610, mwanaastronomia wa Italia Galileo Galilei  aligundua satalaiti ya tatu  ya J sayari ya Jupita. Satalaiti hiyo ilipewa jina la kiimani la Ulaya la Lo, Ganymede.

- Januari 7 mwaka 1789 uchaguzi wa kwanza ulifanyika nchini Marekani. Wapiga kura  waliwachagua wawakilishi na kum-chagua rais wa kwanza ambae alikuwa George Washington.

- Januari 7 mwaka 1927, mazungumzo ya kwanza kwa njia ya simu kati ya New York na Uingereza yalifaanikiwa.

- Januari 7 mwaka 1953, rais wa Marekani Harry Truman alitangaza kuwa Marekani ipo katika harakati za kutengeneza bomu ya "H" ambalo ni bomu la Hydrogene.

- Januari 7 mwaka 1946  kompyuta ya kwaanza ambayo ilitajwa kuwa na mwendo usikuwa wa kawaida katika kipindi hicho ilikuwa ni ushindi mkubwa katika ulimwengu wa kielekroniki. Marekani ndio iliogundua teknolojia hiyo. Hadi mwaka 1955 ilikuwa ni hatua kubwa katika teknolojia ya mawasiliano na elektroniki.
Bernard John.



Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
LEO KATIKA HISTORIA: SATELAITE ILIGUNDULIWA, BOMU KUBWA LILITENGENEZWA, KOMPYUTA YA KIPEKEE ILIUNDWA LEO KATIKA HISTORIA: SATELAITE ILIGUNDULIWA, BOMU KUBWA LILITENGENEZWA, KOMPYUTA YA KIPEKEE ILIUNDWA Reviewed by By News Reporter on 1/07/2019 08:23:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.