Loading...
Mimi (jina limehifadhiwa) na mchumba wangu tulikuwa tuna matatizo ya kimahusiano, na ugomvi wetu ulifika mbali kiasi ambacho tulikuwa tunaenda kuachana. Sikuwa mwenye furaha na hicho kitu kilianza kunipotezea hamasa kanisani. Mama mchungaji aligundua hilo, na akaniambia nimualike mchumba wangu ili atusuluishe, baada ya kumuelezea kinachonisibu.
Mwishowe nikaja naye kumbe akavutiwa naye, na kufanikiwa kumlaghai na akafanya naye mapenzi.
Je nifanyaje, nimwambie Pasta au nikae kimya niachane na mchumba wangu kabisa?
Na Joshua Phillipo.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

MAMA MCHUNGAJI AMETEMBEA NA MCHUMBA WANGU, NAOMBENI USHAURI
Reviewed by By News Reporter
on
1/27/2019 11:59:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: