Loading...

MWILI WA MAMA ABDULI KUZIKWA LEO

Loading...
Mwili wa mwanamama Salome aliefariki wikiendi hii nyumbani kwake Kigogo - Mburahati jijini dar es salaam unataraijwa kuzikwa leo  baada ya shughuli zote za mazishi kukamilika nyumbani kwake.

Mama Abdul alisifika sana miaka ya nyumba kutokana na kazi zake huko alikoanzia katika tamthili ya mambo hayo akiwa na kina bishanga, lakini sasa hivi jina lake lilizidi kukua baada ya kucheza katika tamthilia ya mwantumu akiwa anaigiza kwa jina la Mwantum Mcharuko.

Mama Abdul amekuwa moja ya wasanii wakongwe waliowalea wasanii wengine waliochipukia na jina lake na kazi zake zitakuwa na mchango mkubwa sana katika tasnia ya maigizo.

"Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi, AMINA".

Na Hamisi Vegula.



Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
MWILI WA MAMA ABDULI KUZIKWA LEO MWILI WA MAMA ABDULI KUZIKWA LEO Reviewed by By News Reporter on 1/28/2019 10:06:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.