Loading...
Serikali imebadili uamuzi wake wa awali wa kubangua korosho zote ndani ya nchi na kuziuza zikiwa zimebanguliwa na badala yake imeamua kuuza korosho ghafi.
Serikali ya Tanzania imeingia mkataba wa mauziano ya Korosho na kampuni ya 'Indopower Solution' ya Kenya, mapema jana Jumatano jijini Arusha.
Kampuni hiyo yenye makao yake makuu Thika, nchini Kenya itanunua tani laki moja za Korosho ghafi zenye thamani ya shilingi 418 bilioni.
Waziri wa viwanda na biashara Joseph Kakunda amesema serikali inaendelea kuwakaribisha wanunuzi wa Korosho kutoka nje ya Tanzania kwa maslahi ya uchumi wa taifa na mkulima.
Mbali na uwepo wa Waziri Kakunda, Makubaliano hayo yameshuhudiwa na viongozi mbalimbali akiwemo Waziri wa Katiba na Sheria.
Na Haika Gabriel.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

SERIKALI YAAMUA KUUZA KOROSHO GHAFI KWA WAFANYABIASHARA WA NJE
Reviewed by By News Reporter
on
1/31/2019 11:53:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: