Loading...

USIAMINI KUAMBIWA HAUWEZI, UNANAWEZA NA ULIMWENGU UNAKUSUBIRI UCHUKUE HATUA

Loading...
Wewe ni mtu muhimu sana katika dunia hii, kuna nafasi ya kusudi la uwepo wako. Ndani yako kuna UWEZO mkubwa na wa kipekee wa kufanya jambo kubwa kama sehemu ya mchango wako katika dunia.

Kuna uwezekano mkubwa kabisa ukawa umeambiwa na watu mbalimbali kwamba UWEZO wako ni mdogo na wewe ukachagua KUAMINI maneno yao. Ukaambiwa wewe hutafanikiwa nawe ukakubali na kuamini. Inawezekana watu hawakuamini nawe umepoteza kujiamini kuwa unaweza.

Jambo moja naomba nikueleze, una UWEZO mkubwa ndani yako, kuna MBEGU ya mafanikio ndani yako ambayo inakusubiri wewe uweze KUCHANUA na KUSTAWI. Dunia inasubiri kile kilichowekwa ndani yako. Usiache kikapotelea ndani yako kwani ipo siku utadaiwa. Usiamini kuambiwa huwezi, UNAWEZA na ulimwengu unakusubiri uchukue hatua.
Na Thomas Edson.



Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
USIAMINI KUAMBIWA HAUWEZI, UNANAWEZA NA ULIMWENGU UNAKUSUBIRI UCHUKUE HATUA USIAMINI KUAMBIWA HAUWEZI, UNANAWEZA NA ULIMWENGU UNAKUSUBIRI UCHUKUE HATUA Reviewed by By News Reporter on 1/28/2019 11:23:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.