Loading...
Muigizaji wa Bongo movie mrembo Irene Uwoya ameibuka na kukiri kuwa Hivi sasa yupo kwenye mahusiano mapya na mwanaume mwingine ambaye hajamtaja.
Uwoya ambaye aliachana na Mume Wake ndoa ambaye ni Msanii wa Bongo fleva Abdul Chande 'Dogo Janja' amesema Hivi sasa ana Mpenzi mwingine.
Kwenye mahojiano aliyofanya na waandishi wa Habari kwenye sherehe za uzinduzi wa foundation ya msemaji wa Simba Haji Manara, Irene Uwoya amesema kwamba ni kweli kwa sasa yupo kwenye mahusiano, na mpenzi wake huyo ni mfanyabiashara.
"Ofcourse nipo kwenye mahusiano, yeye ni mfanyabiashara ila siwezi kuwatajia jina".
Ingawa Uwoya amekataa kumuweka wazi Mpenzi Wake lakini kumekuwa na tetesi kwenye Mitandao ya kijamii kuwa mrembo huyo yupo kwenye mahusiano na mfanyabiashara ambaye ana mkwanja mrefu na ndio anamuweka mrembo huyo mjini kwa sasa.
Na Saidi Rajab.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

UWOYA AAMUA KUWEKA WAZI MAHUSIANO YAKE MAPYA
Reviewed by By News Reporter
on
1/31/2019 08:26:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: