Loading...

BABA DIAMOND PLATINUMZ HOI KITANDANI, PICHA YASAMBAA

Loading...
Baba mzazi wa Diamond Platinumz ameripotiwa kuwa hoi kitandani kutokana na ugoinjwa wa miguu unaomsumbua kwa sasa huku akiwa anaripotiwa kuwa haijulikani anaumwa ugonjwa gani mpaka sasa.

Hata hivyo inasemekana kuwa pamoja na kwamba baba huyo amekuwa mgonjwa lakini mtoto wake Diamond Platinumz ameshindwa kwenda kumsaidia hata kwa pesa za matibabu baba yake mzazi.

Baba huyo mzazi amekuwa akiumwa lakini alishawahi  kufanya juu chini kwa ajili ya kufanya mazungumzo na mtoto wake huyo kwa kiume ili kuwa na mahusiano mazuri na mtoto huyo lakini swala hilo linaonekana  kushindikana.

Kuna picha imeibuka na kusambaa ikionyesha jinsi ugonjwa huo usiojulikana mpaka sasa na kuathiri miguu yake.
Na Fatma Pembe.



Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
BABA DIAMOND PLATINUMZ HOI KITANDANI, PICHA YASAMBAA BABA DIAMOND PLATINUMZ HOI KITANDANI, PICHA YASAMBAA Reviewed by By News Reporter on 2/18/2019 09:26:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.