Loading...
Mwanadada Wema sepetu amefunguka na kukanusha taarifa zilizosambaa siku nyingi katika mitandao ya kijamii na kusema kuwa alikwenda nje ya nchi kwa ajili ya kukatwa utumbo ili kupunguza unene na uzito.
Hata hivyo maneno hayo yanakuja baada ya mwana dada wema sepetu kuonekana kupungua mwili kila siku kiasi kwamba mashabiki zake wamekuwa wakipata wasiwasi na afya yamsanii wao.
Wema amesema kuwa kitu kikubwa kilichomfanya kwenda nje ni kwa ajili ya kuangaikia swala lake la kupata mtoto na hata alipoenda huko aliambiwa kuwa anatakiwa kupunguza mafuta ili aweze kupata mtoto kwa sababu mara nyingi hata mafuta usababisha kukosa kupata mimba.
Wema anasema kuwa kinachomfanya akonde kila siku ni stress za hapa na pale lakini pia amekuwa akinywa dawa ambazo zinamsaidia kupunguza uzito na kupunguza mafuta pia.
"Utumbo wangu mimi sijawahi kukataam wala kupunguza, nilivyosafiri na kwenda India, nilienda kwa sababu ya tumbo langu lakini niliambiwa kuwa mara nyingi kukosa mtoto husababishwa na Mafuta.Hivyo nilipewa vidonge kwa ajili ya kupunguza mwili na mafuta," alifafanua Wema.
Na Haika Gabriel.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

WEMA AKANUSHA KUKATWA UTUMBO
Reviewed by GEOFREY MASHEL
on
2/19/2019 09:14:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: