Loading...
Familia ya aliyekuwa mkurugenzi wa vipindi Clouds Media RUGE MUTAHABA, amefunguka na kusema kuwa matibabu ya mgonjwa huyo ambae yuko Afrika ya kusini imekuwa kubwa sana wa siku inaweza kufika kaisi cha shilingi milion 5 hadi 6 kiasi hivyo inakuwa ngumu kama familia kuweza kumudu swala hili peke yao.
Mdogo wa Ruge, Mbaki Mutahaba anasema kuwa wanashukuru kwa sababu watu mbalimbali wamekuwa wakijitahidi kwa ajili ya kumsaidia hasa kipindi wanaanza matibabu , lakini kuna nguvu ya ziada katika pesa inahitajika kwa ajili ya kupata pesa ya matibabu kwa ajili ya mgonjwa.
Kwa watakaoguswa kuchangia matibabu ya Ruge Mutahaba, wameombwa kufanya hivyo kupitia namba 0752 222 210
"Gharama za matibabu kwa kule ni kubwa inaweza kufika mpaka milion 5 , au 6 kwa siku, pamoja na kwamba Mhe. rais Magufuli aliwahi kutoa pesa kwa ajili ya matibabu lakini gharama zimekuwa kubwa sana," Asimulia ndugu wa Ruge.
Na Timoth Zacharia.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

MSAADA WA HALI NA MALI: FAMILIA YA RUGE YASEMA GHARAMA ZA MATIBABU NI KUBWA
Reviewed by By News Reporter
on
2/19/2019 09:45:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: