Loading...

JE UNATAKA KULA BATA LA NGUVU? UKISHEREKEA KUIAGA JANUARI BASI TUNAKULETEA VIWANJA VIKALI AMBAVYO HUTOVIJUTIA KUVITEMBELEA.

Loading...
LYRICIST LOUNGE
Lini: Jumamosi, Februari 02
Mahali: Makuti Bar
Kwa nini: Makuti Lounge inakupata wasanii
wakubwa na wachanga kwa pamoja
ili kupata ladha tofauti.

WEEKEND GIG
Lini: Friday, Februari 01
Mahali: Mint Club, Bukoba
Kwanini: Imechaguliwa kama kiwanja 
maridhawa kwa kuruka mkwanja usiku na kupata
vinywaji vya gharama ndogo.

CLUB LEGEND
Lini: Jumamosi, Februari 02
Mahali: Club Legend
Kwa nini: Ni Usiku kama hakuna mwingine
ambapo tunaweza kuburudika na nyimbo
za zamani tukitumbizwa na Ma DJ wakali.

ON THE ROCK
Lini: Ijumaa, Februari 01
Lini: High Spirit Lounge
Kwanini: Imechaguliwa kama ndiyo sehemu
makini kwa kula bata na panapouzwa bia bei rahisi

Na Peter Jacob.



Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
JE UNATAKA KULA BATA LA NGUVU? UKISHEREKEA KUIAGA JANUARI BASI TUNAKULETEA VIWANJA VIKALI AMBAVYO HUTOVIJUTIA KUVITEMBELEA. JE UNATAKA KULA BATA LA NGUVU? UKISHEREKEA KUIAGA JANUARI BASI TUNAKULETEA VIWANJA VIKALI AMBAVYO HUTOVIJUTIA KUVITEMBELEA. Reviewed by By News Reporter on 2/01/2019 09:46:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.